Skip to content

Kenya Trends

Jobs | Opportunities | Free Courses | Technology | Crypto | Music

  • Home
  • Jobs & Opportunities
  • Free Resources
  • Udemy Coupons
  • Technology
  • Crypto
  • Music
  • Home
  • Music
  • Bariki Ndoa Lyrics – Dominion Voices Ministers Lyrics
  • Music

Bariki Ndoa Lyrics – Dominion Voices Ministers Lyrics

Kenya Trends October 28, 2024 2 min read
Bariki Ndoa Lyrics - Dominion Voices Ministers

Bariki Ndoa Lyrics - Dominion Voices Ministers

Bariki Ndoa Lyrics

Ukishapanga
hakuna wa kupangua
ukibariki
hakuna wa kulaani
E Mungu bariki ndoa hii

Uzao wa tumbo lao
bariki
wa nchi na wanyama wao
bariki
waingiapo watokapo
bariki
mjini hata mashambani
bariki
bariki hata kapu lao
wafunulie hazina zako
zijaze ghala zao Mungu bariki
uuuh uuuh
Wape upendo rehema zako
bariki bariki
wape uvumilivu, wakutumaini tu
bariki bariki
(afya hekima toka kwako wamiminie)
wafunulie hazina zako
zijaze ghala zao Mungu bariki

Watch Bariki Ndoa Lyrics Video Here

Umesababisha umetimiza ndoto yao
maharusi hawa wanaunganishwa
mbele zako
safari yao ya ndoa wameanza leo
ombi letu Baba uwanehemeshe
changamoto zipo kwa wingi
ila uwanyenyekeze
wakutangulize katika ndoa yao

Maana Bwana ukishapanga

Ukishapanga
hakuna wa kupangua
ukibariki
hakuna wa kulaani
E Mungu bariki ndoa hii

Bariki Bariki Bariki ndoa Bariki

Ukishapanga
hakuna wa kupangua
ukibariki
hakuna wa kulaani
E Mungu bariki ndoa hii

Bariki Bariki

Uzao wa tumbo lao
bariki
wa nchi na wanyama wao
bariki
waingiapo watokapo
bariki
mjini hata mashambani
bariki
bariki hata kapu lao
wafunulie hazina zako
zijaze ghala zao Mungu bariki
uuuh uuuh
Wape upendo rehema zako
bariki bariki
wape uvumilivu, wakutumaini tu
bariki bariki
(afya hekima wamiminie)
wafunulie hazina zako
zijaze ghala zao Mungu bariki

FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

Mtimize kama mlivyokusudia
viapo tayari mmevipokea
mbele ya mashahidi
msifanye mzaha ndoa kitu takatifu
wengi wameipitia
maombi ndio nguzo
mwe na subira
Mungu mpaji wa yote
atawapa raha
amani na kuwatunza
baraka zake zitawa chini ya wamchao yeye

CHORUS
Uzao wa tumbo lao
bariki
wa nchi na wanyama wao
bariki waingiapo watokapo
bariki
mjini na mashambani
bariki
(E Mungu)
wafunulie hazina zako
zijaze ghala zao Mungu bariki
uuuh uuuh
Wape upendo rehema zako
bariki bariki
wape uvumilivu, wakutumaini tu
bariki bariki
(afya hekima wamiminie)
wafunulie hazina zako
zijaze ghala zao Mungu bariki X2

Uzao wa tumbo lao
wa nchi na wanyama wao
bariki bariki
waingiapo watokapo
mjini hata mashambani
bariki bariki
bariki hata kapu lao
wafunulie hazina zako
zijaze ghala zao Mungu bariki
uuuh uuuh
bariki bariki
Wape upendo rehema zako
wape uvumilivu, wakutumaini tu
bariki bariki
(afya hekima wamiminie)
wafunulie hazina zako
zijaze ghala zao Mungu bariki

Ukishapanga
hakuna wa kupangua
ukibariki
hakuna wa kulaani
E Mungu bariki ndoa hii X2

FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

SHARE THIS POST

Copy Link: https://kenyatrends.co.ke/yv8j

Continue Reading

Previous: Lango Lyrics – Dj Kezz ft Guardian Angel
Next: Mungu Ni Mmoja Lyrics – Bella Kombo ft Evelyn Wanjiru ft Neema Gospel Choir

Related Stories

Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries
3 min read
  • Music

Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries

March 29, 2025
Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers
4 min read
  • Music

Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers

December 29, 2024
Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group
4 min read
  • Music

Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group

December 29, 2024

Recent Posts

  • Android apps with artificial Intelligence
  • Build 8 Python Apps Games and Web Application Python Master
  • Dart & Flutter | The Complete Flutter Development Course
  • Build a Quiz App with Java on Android Studio Beginner Course
  • Complete Java Programming Bootcamp: Learn to Code in Java
  • Python App Development Masterclass App Development Bootcamp
  • Flutter Masterclass – Your Complete Guide to App Development
  • Build 11 JavaScript Application and Web JavaScript BootCamp
  • JavaScript 10 Projects in 10 Days Course for Beginners
  • Hands On React JS From Beginner to Expert
  • About Us
  • Contact Us
  • Privacy Policy
  • Cookies Policy
© Kenya Trends

2025