Uinuliwe Bwana Lyrics – Christ Followers Ministers Lyrics

Uinuliwe Bwana Lyrics by Christ Followers Ministers

Uinuliwe Bwana Lyrics by Christ Followers Ministers

VERSE 1
Uinuliwe Bwana, Upewe Sifa Yahweh
Maana hakuna jina jingine linalofaa sifa
Matendo yako makuu, Misri wanakutambua
Ulivyotuinua kwa mkono wako
tukashinda maadui zetu

Uinuliwe Bwana, Upewe Sifa Yahweh
Maana hakuna jina jingine linalofaa sifa
Matendo yako makuu, Misri wanakutambua
Ulivyotuinua kwa mkono wako
tukashinda maadui zetu

CHORUS
E Bwana twategemea uwepo wako
ili tuweze kuvuka ng’ambo
Twatamani kama Miriamu tuvuke
ng’ambo tuimbe sifa zako
njia imejaa miiba milima na mawe
ewe Bwana ukiwa na sisi
ushindi kwetu ni hakika

Watch Uinuliwe Bwana Lyrics Video Here

E Bwana twategemea uwepo wako
ili tuweze kuvuka ng’ambo
Twatamani kama Miriamu tuvuke
ng’ambo tuimbe sifa zako
njia imejaa miiba milima na mawe
ewe Bwana ukiwa na sisi
ushindi kwetu ni hakika

VERSE 2
Viwete wanatembea, vipofu wanaona
utazidi kutamalaki kote Bwana
wewe ni mkuu, uinuliwe
toka kizazi hadi kizazi, zidisha pendo
kwa wana wako Bwana
tushike mkono katika safari
mwishowe tufurahi pamoja nawe 

FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

Viwete wanatembea, vipofu wanaona
utazidi kutamalaki kote Bwana
wewe ni mkuu, uinuliwe
toka kizazi hadi kizazi, zidisha pendo
kwa wana wako Bwana
tushike mkono katika safari
mwishowe tufurahi pamoja nawe

CHORUS
E Bwana twategemea uwepo wako
ili tuweze kuvuka ng’ambo
Twatamani kama Miriamu tuvuke
ng’ambo tuimbe sifa zako
njia imejaa miiba milima na mawe
ewe Bwana ukiwa na sisi
ushindi kwetu ni hakika

E Bwana twategemea uwepo wako
ili tuweze kuvuka ng’ambo
Twatamani kama Miriamu tuvuke
ng’ambo tuimbe sifa zako
njia imejaa miiba milima na mawe
ewe Bwana ukiwa na sisi
ushindi kwetu ni hakika

FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

SHARE THIS POST