Heri Taifa Lyrics – Israel Mbonyi Lyrics

Heri Taifa Lyrics - Israel Mbonyi Lyrics

Heri Taifa Lyrics by Israel Mbonyi

VERSE
Nikasikia sauti nyikani
Tengenezeni njia yake,
nyosheni mapito yake

Sogeleeni kiti cha neema
Mpate utakaso
Oh what a blessing
Oh what a grace

PRE CHORUS
Heri aoshaye,
Kanzu yake ndani ya damu
Akiliamini neno alilo ambiwa naye
Atakua kama Mti kando ya maji
Majani yake huyo,
Yatakua mabichi daima.

Watch Heri Taifa Lyrics Video Here:

CHORUS
Heri walio na hilo agano
Wanaye Mungu Kama Mwokozi wao
Watasitawi nyumbani mwake
Hao wataitwa wana wa upendo.
Tutasitawi nyumbani mwake
Sisi, tutaitwa wana wa upendo
:: X2

VERSE
Moyo wangu, Sifu Mungu
sifu mungu sifu mungu
Nuru ilikuangazia We Uliye mpole
Utairithi nchi, Utafarijiwa
Moyo wangu, Sifu Mungu
sifu Mungu sifu Mungu
Nuru ilikuangazia mwenye moyo safi
Utabarikiwa, Utamwona Mungu
X2

FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

CHORUS
Heri walio na hilo agano
Wanaye Mungu Kama Mwokozi wao
Watasitawi nyumbani mwake
Hao wataitwa wana wa upendo.
Tutasitawi nyumbani mwake
Sisi, tutaitwa wana wa upendo

BRIDGE
Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao
Ni wana wa upendo
Aliyo wachagulia, kuwa urithi wake

CHORUS
Heri walio na hilo agano
Wanaye Mungu Kama Mwokozi wao
Watasitawi nyumbani mwake
Hao wataitwa wana wa upendo.
Tutasitawi nyumbani mwake
Sisi, tutaitwa wana wa upendo

FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

SHARE THIS POST