Shusha Nyavu Lyrics – Msanii Music Group Lyrics

Shusha Nyavu Lyrics by Msanii Music Group

Akiinua hakuna atayenishusha
Akibariki hakuna atayelaani
Akikubali hakuna atakayekanusha
Neno lake lazima litimie,
Akiinua hakuna atayenishusha
Akibariki hakuna atayelaani
Akikubali hakuna atakayekanusha
Neno lake lazima litimie kwangu

Wale wanafunzi wake Yesu
Walishinda usiku kucha
Wakivua samaki baharini
Hadi asubuhi
Wasipate samaki hata mmoja
Wakamwona Yesu
Kasimama ufukweni mwa bahari

Watch Shusha Nyavu Lyrics Video Here:


Akawaambia tupeni nyavu zenu
Upande wa kulia wa mashua
Walishindwa kuwavuta samaki wengi
Aa walishangaa sana
Je wajifunze nini kwa habari za Yesu
Umesoma nini anaponena Yesu
Je waelewa nini anapotoa amri
Hata samaki na maji
Na watu waelewe

Hakuna jambo linalomshinda Yesu
Mahangaiko yako ni kitu kidogo kwake
Uangalie upande wa kulia wewe we
Upate jibu
Hakuna jambo linalomshinda Yesu
Mahangaiko yako ni kitu kidogo kwake
Uangalie upande wa kulia wewe we
Upate jibu

FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

Guitar Interlude

Lipo jambo limekutesa
Lipo jambo limekusumbua
Shusha nyafu upande wa kulia
Lipo jambo limekutesa
Lipo jambo limekusumbua
Shusha nyavu upande wa kulia
Uone mambo

Hakuna jambo linalomshinda Yesu
Mahangaiko yako ni kitu kidogo kwake
Uangalie upande wa kulia wewe we
Upate jibu
Hakuna jambo linalomshinda Yesu
Mahangaiko yako ni kitu kidogo kwake
Uangalie upande wa kulia wewe we
Upate jibu
Hakuna jambo linalomshinda Yesu
Mahangaiko yako ni kitu kidogo kwake
Uangalie upande wa kulia wewe we
Upate jibu
Hakuna jambo linalomshinda Yesu
Mahangaiko yako ni kitu kidogo kwake
Uangalie upande wa kulia wewe we
Upate jibu

FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

SHARE THIS POST