Skip to content

Kenya Trends

Jobs | Opportunities | Free Courses | Technology | Crypto | Music

  • Home
  • Jobs & Opportunities
  • Free Resources
  • Udemy Coupons
  • Technology
  • Crypto
  • Music
  • Home
  • Music
  • Mbele Mbele Lyrics by Christ Followers Ministers Lyrics
  • Music

Mbele Mbele Lyrics by Christ Followers Ministers Lyrics

Kenya Trends October 28, 2024 1 min read
Mbele Mbele Lyrics by Christ Followers Ministers

Mbele Mbele Lyrics by Christ Followers Ministers

Mbele Mbele Lyrics by Christ Followers Ministers

VERSE 1
Mbele Mbele mimi nasafiri
na tusirudi nyuma penye upotowe
mimi ni mrithi pamoja naye
nikiteswa pamoja naye
kwa maana nayahesabu mateso
ya wakati huu wa sasa si kitu
kama utukufu ule
utakaofunuliwa kwetu watoto wake
X2

CHORUS
Kila kiumbe chenye uhai
basi kimtukuze Bwana
aliyoyatenda ni makuu
pale patakatifu pake
msifuni katika anga la uweza
usiogope paza sauti kwa Bwana
mtolee nadhiri yuasikia
atazidi kuyatenda makuu
kwa kinanda na kinubi nawe upaze
msifuni kwa zeze nazo firimbi
kila mwenye pumzi basi amsifu
Bwana wetu Bwana wa mabwana
X2

Watch Mbele Mbele Lyrics Video Here

VERSE 2
Tusimame kwenye njia panda
tukaulize mapito ya zamani
I wapi njia ifuatayo mema
kama wazee wa zamani
usipotoshwe na wajua ukweli
usirudi nyuma anakusubiri
ewe mlinzi wa Zayuni
piga tarumbeta watu wasikie
X2

CHORUS
Kila kiumbe chenye uhai
basi kimtukuze Bwana
aliyoyatenda ni makuu
pale patakatifu pake
msifuni katika anga la uweza
usiogope paza sauti kwa Bwana
mtolee nadhiri yuasikia
atazidi kuyatenda makuu
kwa kinanda na kinubi nawe upaze
msifuni kwa zeze nazo firimbi
kila mwenye pumzi basi amsifu
Bwana wetu Bwana wa mabwana

FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

SHARE THIS POST

Copy Link: https://kenyatrends.co.ke/w3tx
Tags: christ followers ministers

Continue Reading

Previous: Nimekuachia Wewe Lyrics by Christ Followers Ministers Lyrics
Next: Shusha Nyavu Lyrics – Msanii Music Group Lyrics

Related Stories

Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries
3 min read
  • Music

Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries

March 29, 2025
Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers
4 min read
  • Music

Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers

December 29, 2024
Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group
4 min read
  • Music

Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group

December 29, 2024

Recent Posts

  • Remote UX Product Designer / Engineer Job at Enveritas
  • Remote Data Scientist & Engineer Job at ElevenLabs
  • Remote Frontend Engineer I (with Contentful experience) Job at Outliant
  • C#.Net, Associate Engineer Job at CAVISTA – Nigeria
  • Remote (EMEA) Senior Data Analyst, Strategic Marketing Job at Deel.
  • Remote(US) Senior Data Analyst Job at Headspace
  • Remote Data Engineer Job at Deel – EMEA
  • Android apps with artificial Intelligence
  • Build 8 Python Apps Games and Web Application Python Master
  • Dart & Flutter | The Complete Flutter Development Course
  • About Us
  • Contact Us
  • Privacy Policy
  • Cookies Policy
© Kenya Trends

2025