Unirehemu Lyrics – Your Voice Melodies Lyrics

Unirehemu Lyrics Video - Your Voice Melody

Unirehemu Your Voice Melodies Lyrics

STANZA 1
E Mungu Wangu – Mimi
Unirehemu sawasawa na fadhili zako
kiasi cha wingi wa rehema zako
uyafute makosa yangu
Unioshe kabisa na uovu wangu
unitakase dhambi zangu
maana ninajua mimi makosa yangu
X2

CHORUS
Nimekutenda dhambi wewe peke yako
na kufanya maovu mbele ya macho yako
Mungu nirehemu nisitende dhambi tena
ujulikane kwa watu wote
kuwa wewe una haki unenapo
na kuwa safi utoapo hukumu yako

Watch Unirehemu Lyrics Video Here:

unisafishe niwe mweupe kuliko theluji
nisikie furaha na shangwe mifupa
uliyebonda ifurahi
ujulikane kwa watu wote
kuwa wewe una haki unenapo
na kuwa safi utoapo hukumu yako

FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

Usitiri uso wako
uzitazame dhambi zangu zote
hatia zangu uzifute
E Mungu uniumbie Moyo safi
X2

STANZA 2
E Mungu Wangu – Mimi
Unirehemu sawasawa na fadhili zako
kiasi cha wingi wa rehema zako
uyafute makosa yangu
Unioshe kabisa
maana nafsi yangu imekukimbilia
wewe ndiye mwamba wangu
wokovu wangu
X2

CHORUS
Nimekutenda dhambi wewe peke yako
na kufanya maovu mbele ya macho yako
Mungu nirehemu nisitende dhambi tena
ujulikane kwa watu wote
kuwa wewe una haki unenapo
na kuwa safi utoapo hukumu yako

unisafishe niwe mweupe kuliko theluji
nisikie furaha na shangwe mifupa
uliyebonda ifurahi
ujulikane kwa watu wote
kuwa wewe una haki unenapo
na kuwa safi utoapo hukumu yako

Usitiri uso wako
uzitazame dhambi zangu zote
hatia zangu uzifute
E Mungu uniumbie Moyo safi

FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

SHARE THIS POST