Ni Sawa Lyrics Vijana Barubaru ft Steph Kapela

Ni Sawa Lyrics Vijana Barubaru ft Steph Kapela Lyrics

Yilili lilili lilili
Hulululu lulululu
Yilili lilili lilili
Hulululu lulululu

Yelele yelele mama
Yelele yelele mama
Wolo wololo mama

Kosa si kosa
makosa ni kurudia
pole sana
kama umevumilia
tulikosana nikaomba ungenirudia
ukanikana hadharani
mbele ya dunia

Bet ilichomeka
zima moto hawakusaidia
ndege aviator ikianguka hawakuniambia
size iliona ona
na sikufuatilia
jirani alikuteka
mali yangu wakanikulia

ni sawa
umeniacha nimeachika
ni sawa
ningenyamaza yote tisa
but for real for real
is that who you have picked over me
umeniacha nimeachika ni sawa

uko sure huyo ndo mwenye unataka?
ee uko sure, ni sawa
uko sure unaezasema vitu chest?
ee uko sure, ni sawa

but for real for real
is that who you have picked over me
umeniacha nimeachika ni sawa

ni sawa
ni sawa

naomba on your wedding day
stima zipotee
upate fat fingers, ring isitoshee
your boyfriend akubayie kadogi
ukidhani ni kacute kakuume
mother in law ah na father in law
ah wakuchukie wakikuona
unadhani ye ni catch
kumbe yeye ni sperm donor

Joh ni nini unabonya
my lawd I wonder
but as long as you happy
wena we penda kenye
unapenda hii imeenda

ni sawa
umeniacha nimeachika
ni sawa
ningenyamaza yote tisa
but for real for real
is that who you have picked over me
umeniacha nimeachika ni sawa

uko sure huyo ndo mwenye unataka?
ee uko sure, ni sawa
uko sure unaezasema vitu chest?
ee uko sure, ni sawa

but for real for real
is that who you have picked over me
umeniacha nimeachika ni sawa

yelelele lele
yelele
Ni sawa
yelelele
ni sawa
yeleleyelele
ni sawa

FOLLOW THIS WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

SHARE THIS POST