Skip to content

Kenya Trends

Jobs | Opportunities | Free Courses | Technology | Crypto | Music

  • Home
  • Jobs & Opportunities
  • Free Resources
  • Udemy Coupons
  • Technology
  • Crypto
  • Music
  • Home
  • Music
  • Nimekuachia Wewe Lyrics by Christ Followers Ministers Lyrics
  • Music

Nimekuachia Wewe Lyrics by Christ Followers Ministers Lyrics

Kenya Trends October 28, 2024 1 min read
Nimekuachia Wewe Lyrics by Christ Followers Ministers

Nimekuachia Wewe Lyrics by Christ Followers Ministers

Nimekuachia Wewe Lyrics by Christ Followers Ministers

INTRO
(Nimekuachia wewe)
Nimekuachia wewe
maisha yangu utawale
tawala kinywa changu
mawazo yangu na matendo
tawala mapito yangu
yakajae baraka zako
nitembee kwenye mwanga
uwakao kwenye giza
X2

STANZA 1
E Bwana mizigo yangu
sitaweza kuibeba mimi
maana ni mizito
mabegani yanilemea mimi
Bwana jidhihirishe
kwenye unyonge wangu
vita hivi sitaviweza
ninakuhitaji
X2

Watch Nimekuachia Wewe Lyrics Video Here

CHORUS
(Nimejisalimisha)
Nimejisalimisha
kwako ewe Bwana
maisha yangu yote
uyatawale
njia ya mbinguni
ijapo finyu sana
Ninatamani sana nikuone

(natamani nikuone
niketi nawe meza moja
niimbe sifa nikuone
iwe furaha milele) X2
X2

FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

STANZA 2
Afya yangu uitawale
Kazi yangu uitawale
Masomo yangu uyatawale
Ewe Bwana
kuondoka kwangu unitawale
kurudi kwangu unitawale
ning’ae na hekima
itokayo mbinguni
ukitangulia mbele
nitafuata chochote sema
nitafanya mimi ni chombo
chako Bwana nitawale
nikiteleza niinue
nikianguka usiniache
kwani Bwana mimi bila wewe
ni mavumbi tu

CHORUS
Nimejisalimisha
kwako ewe Bwana
maisha yangu yote
uyatawale
njia ya mbinguni
ijapo finyu sana
Ninatamani sana nikuone

(natamani nikuone
niketi nawe meza moja
niimbe sifa nikuone
iwe furaha milele) X2
X2

FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

SHARE THIS POST

Copy Link: https://kenyatrends.co.ke/oeji
Tags: christ followers ministers sda

Continue Reading

Previous: Mtuliza Bahari Lyrics by Msanii Music Group
Next: Mbele Mbele Lyrics by Christ Followers Ministers Lyrics

Related Stories

Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries
3 min read
  • Music

Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries

March 29, 2025
Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers
4 min read
  • Music

Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers

December 29, 2024
Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group
4 min read
  • Music

Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group

December 29, 2024

Recent Posts

  • Android apps with artificial Intelligence
  • Build 8 Python Apps Games and Web Application Python Master
  • Dart & Flutter | The Complete Flutter Development Course
  • Build a Quiz App with Java on Android Studio Beginner Course
  • Complete Java Programming Bootcamp: Learn to Code in Java
  • Python App Development Masterclass App Development Bootcamp
  • Flutter Masterclass – Your Complete Guide to App Development
  • Build 11 JavaScript Application and Web JavaScript BootCamp
  • JavaScript 10 Projects in 10 Days Course for Beginners
  • Hands On React JS From Beginner to Expert
  • About Us
  • Contact Us
  • Privacy Policy
  • Cookies Policy
© Kenya Trends

2025