Nimefika Mwisho Lyrics – Heaven Targeters Lyrics

Nimefika Mwisho Lyrics - Heaven Targeters

STANZA 1
Nimefika Mwisho Mwisho wa maisha yangu
naliona kaburi mbele yangu lataka kunimeza
milima ya mbinguni yaniita sasa
niende nipumzike nyumbani mwa Baba yangu

CHORUS
Nimekamilisha mwendo nimefikia mwisho
na kazi uliyonipa nimeifanya kwa Bidii
japo kwa machungu mazito mwili umechakaa
nakwa mapungufu yangu neema unijazie

Watch Nimefika Mwisho Lyrics Video Here

STANZA 2
Namtukuza Yesu ameshinda mauti
kaburi liko wazi hayumo tenba amepaa mbinguni
japo nilale kwa muda nitafufuka hakika
machozi yangu yafutwe furaha asubuhi

CHORUS
Nimekamilisha mwendo nimefikia mwisho
na kazi uliyonipa nimeifanya kwa Bidii
japo kwa machungu mazito mwili umechakaa
nakwa mapungufu yangu neema unijazie

FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

SHARE THIS POST