Neno Litasimama Lyrics – Msanii Music Group

Neno Litasimama Lyrics - Msanii Music Group

Neno litasimama, neno litasimama
mambo yote yatapita lakini neno litasimama
Neno litasimama, neno litasimama
mambo yote yatapita lakini neno litasimama

Vitabu vingi sana vimeandikwa
kwa hekima yake mwanadamu
vikitupotosha waziwazi vile twaweza
kuishi vyema duniani
ila yabidi tuelewe
kwamba pale mwanzo kulikuwa neno
naye neno alikuwepo kwa Mungu
naye neno alikuwa Mungu

Watch Neno Litasimama Lyrics Video Here

Neno litasimama, neno litasimama
mambo yote yatapita lakini neno litasimama
Neno litasimama, neno litasimama
mambo yote yatapita lakini neno litasimama

Warembo wote watapita
wanaume mali safi watapita
wamamas wababas watapita
lakini neno litasimama

Beli mpya zitapita
wale wameweza watapita
raha za dunia zitapita
lakini neno litasimama

Neno litasimama, neno litasimama
mambo yote yatapita lakini neno litasimama
Neno litasimama, neno litasimama
mambo yote yatapita lakini neno litasimama

FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

SHARE THIS POST