Skip to content

Kenya Trends

Jobs | Opportunities | Free Courses | Technology | Crypto | Music

  • Home
  • Jobs & Opportunities
  • Free Resources
  • Udemy Coupons
  • Technology
  • Crypto
  • Music
  • Home
  • Music
  • Mwimbie Bwana Lyrics – Your Voice Melody Lyrics
  • Music

Mwimbie Bwana Lyrics – Your Voice Melody Lyrics

Kenya Trends October 28, 2024 1 min read
Mwimbie Bwana Lyrics - Your Voice Melody Lyrics

Mwimbie Bwana Lyrics - Your Voice Melody Lyrics

STANZA 1
Njooni tumwimbie tumfanyie shangwe
mwamba wa wokovu wetu
tuje mbele zake kwa furaha
tumfanyie shangwe kwa zaburi
kwa kuwa yeye ni Mungu mkuu
Mfalme mkuu juu ya miungu yote
sifa na utukufu ni vyako
uhimidiwe Bwana siku zote

REFRAIN
Mwimbie Bwana
pigeni kelele kwa nguvu zako
inuka simama tembea kwa ujasiri
mwimbie Mungu wako wewe
kabla hazijaja siku
zilizo mbaya utakaposema
mimi sina nguvu wala furaha
ya kulihubiri neno lake Mungu
kabla ya jua na nuru, nyota mwezi
havijatiwa giza kabla ya
kurudi kwake Bwana
Mwimbieni Bwana ungali nafasi

Watch Mwimbie Bwana Lyrics Video Here

STANZA 2
Mwimbieni Bwana, kwa kinubi
na kwa sauti ya baragumu
shangilia mbele zake yeye mfalme
bahari na ivume na
vyote vijazavyo ndani
mito na ipige -ipige- makofi
milima iimbe kwa furaha

FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

REFRAIN
Mwimbie Bwana
pigeni kelele kwa nguvu zako
inuka simama tembea kwa ujasiri
mwimbie Mungu wako wewe
kabla hazijaja siku
zilizo mbaya utakaposema
mimi sina nguvu wala furaha
ya kulihubiri neno lake Mungu
kabla ya jua na nuru, nyota mwezi
havijatiwa giza kabla ya
kurudi kwake Bwana
Mwimbieni Bwana ungali nafasi

STANZA 3
Tukifika juu mbinguni
tutaimba nyimbo za furaha
sote tulio hapa duniani
tutaungana tuwe kundi moja
wimbo wa Musa na mwanakondoo
mbinguni juu tutaimba kweli
Yesu akiwa ndiye mwalimu wetu
waimbaji jameni tusikose pale

REFRAIN
Mwimbie Bwana
pigeni kelele kwa nguvu zako
inuka simama tembea kwa ujasiri
mwimbie Mungu wako wewe
kabla hazijaja siku
zilizo mbaya utakaposema
mimi sina nguvu wala furaha
ya kulihubiri neno lake Mungu
kabla ya jua na nuru, nyota mwezi
havijatiwa giza kabla ya
kurudi kwake Bwana
Mwimbieni Bwana ungali nafasi

FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

SHARE THIS POST

Copy Link: https://kenyatrends.co.ke/ihgr

Continue Reading

Previous: Waliketi Chini Lyrics – Katani West Church Choir Lyrics
Next: You Crown The Year Lyrics – Hillsong Worship Lyrics

Related Stories

Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries
3 min read
  • Music

Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries

March 29, 2025
Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers
4 min read
  • Music

Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers

December 29, 2024
Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group
4 min read
  • Music

Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group

December 29, 2024

Recent Posts

  • Android apps with artificial Intelligence
  • Build 8 Python Apps Games and Web Application Python Master
  • Dart & Flutter | The Complete Flutter Development Course
  • Build a Quiz App with Java on Android Studio Beginner Course
  • Complete Java Programming Bootcamp: Learn to Code in Java
  • Python App Development Masterclass App Development Bootcamp
  • Flutter Masterclass – Your Complete Guide to App Development
  • Build 11 JavaScript Application and Web JavaScript BootCamp
  • JavaScript 10 Projects in 10 Days Course for Beginners
  • Hands On React JS From Beginner to Expert
  • About Us
  • Contact Us
  • Privacy Policy
  • Cookies Policy
© Kenya Trends

2025