Skip to content

Kenya Trends

Jobs | Opportunities | Free Courses | Technology | Crypto | Music

  • Home
  • Jobs & Opportunities
  • Free Resources
  • Udemy Coupons
  • Technology
  • Crypto
  • Music
  • Home
  • Music
  • Mpeanaji Lyrics – Msanii Music Group Lyrics
  • Music

Mpeanaji Lyrics – Msanii Music Group Lyrics

Kenya Trends October 28, 2024 1 min read
Mpeanaji Lyrics by Msanii Music Group

Mpeanaji Lyrics by Msanii Music Group

Mpeanaji Lyrics by Msanii Music Group

STANZA 1
Mwimbaji
una kazi yeyote unayofanya
ama ni kuimba imba tu
Sio kuimba imba tu
ila ninamsifu Muumba wangu
Mahitaji ninayo ayashughulikia
na mimi najikuta nasonga mbele
Na ushike ufalme wake
na hayo mengine atakujalia

Jiulize mwaka jana uliishaje
haujakesha kwa nyumba ya daktari
Jamani kazi ya Mungu inalipa
ingawa anapenda watu wote sawa
ametupa nafasi tumkumbuke
tufanye kazi yake tungali na nguvu
Fanya kazi yake
Mwingine mwachie

Watch Lyrics Video Here:

CHORUS
Mungu amefanya mambo
kwa watumishi wake
hata maadui wakashangaa
wameketi chini wakaulizana
hii ilitendekaje
Hawajui mimi ni mteule
Hawajui mimi ni mbarikiwa
Hawajui mimi ni Yule Yule
Mtu wa miliki ya Mungu

Baba akisema pokea
na mimi ninabarikiwa tu
Na wala sitapungukiwa
Maana ndiye mpeanaji wangu
Mpeanaji Mpeanaji
Mpeanaji Mpeanaji

FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

Mungu akisema pokea
na mimi ninabarikiwa tu
Na wala sitapungukiwa
Maana ndiye mpeanaji wangu

STANZA 2
Daudi kasema
nilikuwa kijana na sasa ni mzee
Sijaona mwenye haki
ameachwa na Mungu wetu
Wala watoto wake
wakiombaomba mitaani
Wala watoto wake
Wakiomba omba mikate
Mwenyezi huwalinda
na wala hawaachi
hula mema ya nchi
Jifunze kuwa mwadilifu wake
na utaimiliki nchi yake
Ukipata kibali machoni mwake
utaitwa mbarikiwa wake
Na hitaji lolote unalo
Atakupa mpeanaji

CHORUS

Mungu amefanya mambo
kwa watumishi wake
hata maadui wakashangaa
wameketi chini wakaulizana
hii ilitendekaje
Hawajui mimi ni mteule
Hawajui mimi ni mbarikiwa
Hawajui mimi ni Yule Yule
Mtu wa miliki ya Mungu

Baba akisema pokea
na mimi ninabarikiwa tu
Na wala sitapungukiwa
Maana ndiye mpeanaji wangu
Mpeanaji Mpeanaji
Mpeanaji Mpeanaji

Mungu akisema pokea
na mimi ninabarikiwa tu
Na wala sitapungukiwa
Maana ndiye mpeanaji wangu

FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

SHARE THIS POST

Copy Link: https://kenyatrends.co.ke/k590
Tags: msanii music group sda

Continue Reading

Previous: Wewe Ni Mungu Lyrics – Christ Followers Ministers Lyrics
Next: Mtuliza Bahari Lyrics by Msanii Music Group

Related Stories

Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries
3 min read
  • Music

Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries

March 29, 2025
Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers
4 min read
  • Music

Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers

December 29, 2024
Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group
4 min read
  • Music

Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group

December 29, 2024

Recent Posts

  • Remote UX Product Designer / Engineer Job at Enveritas
  • Remote Data Scientist & Engineer Job at ElevenLabs
  • Remote Frontend Engineer I (with Contentful experience) Job at Outliant
  • C#.Net, Associate Engineer Job at CAVISTA – Nigeria
  • Remote (EMEA) Senior Data Analyst, Strategic Marketing Job at Deel.
  • Remote(US) Senior Data Analyst Job at Headspace
  • Remote Data Engineer Job at Deel – EMEA
  • Android apps with artificial Intelligence
  • Build 8 Python Apps Games and Web Application Python Master
  • Dart & Flutter | The Complete Flutter Development Course
  • About Us
  • Contact Us
  • Privacy Policy
  • Cookies Policy
© Kenya Trends

2025