Skip to content

Kenya Trends

Jobs | Opportunities | Free Courses | Technology | Crypto | Music

  • Home
  • Jobs & Opportunities
  • Free Resources
  • Udemy Coupons
  • Technology
  • Crypto
  • Music
  • Home
  • Music
  • Gabrieli Lyrics – Redemption Ministers Lyrics
  • Music

Gabrieli Lyrics – Redemption Ministers Lyrics

Kenya Trends October 28, 2024 1 min read
Gabrieli Lyrics - Redemption Ministers Lyrics

Gabrieli Lyrics - Redemption Ministers Lyrics

Kwa wiki tatu Gabrieli alipigana na
nguvu za giza akijaribu kumfikiaa Danieli
na ujumbe wa Mungu lakini
kabla ya vita kukamilika mikaeli alimjia
akamnusuru kutoka mikononi
mwa shetani na yote ambayo mbingu
ingetenda kwa niaba ya watu wa Mungu
ilikamilika na ushindi kapatikana
hakika kwa mkono wa Bwana Mungu
mambo yote yanaweza kutimia

Watch Gabrieli Lyrics Video Here

Nitamsubiri Bwana aje kwangu
(aninusuru) aninusuru maana yeye pekee
ndiye aliye na uwezo
wa kumchukua Ibilisi matekani
nina imani ya kuwa hakika
mwishowe Bwana atanishindia
katika vita vyangu vyote
na kunipa hitaji la moyo wangu

Nani atakayesimama kinyume na Shetani
isipokuwa Yesu hakuna hata mmoja
shetani yupo anatumia njia zake
kupinga kusudi la Mungu kabisa
lakini katika unyenyekevu wote
watu wa Mungu wataweza kueneza
injili yake kama alivyofanya Gabrieli
kwa hivyo tusitegemee nguvu zetu
tumsubiri Bwana atujie sisi
alivyomsubiri Gabrieli

FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

SHARE THIS POST

Copy Link: https://kenyatrends.co.ke/fz7t

Continue Reading

Previous: I’m Not Going Anywhere Lyrics – (feat. Cecily & Davy Flowers) | Housefires | TRIBL
Next: People Like You Lyrics – Gramps Morgan Lyrics

Related Stories

Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries
3 min read
  • Music

Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries

March 29, 2025
Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers
4 min read
  • Music

Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers

December 29, 2024
Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group
4 min read
  • Music

Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group

December 29, 2024

Recent Posts

  • Remote UX Product Designer / Engineer Job at Enveritas
  • Remote Data Scientist & Engineer Job at ElevenLabs
  • Remote Frontend Engineer I (with Contentful experience) Job at Outliant
  • C#.Net, Associate Engineer Job at CAVISTA – Nigeria
  • Remote (EMEA) Senior Data Analyst, Strategic Marketing Job at Deel.
  • Remote(US) Senior Data Analyst Job at Headspace
  • Remote Data Engineer Job at Deel – EMEA
  • Android apps with artificial Intelligence
  • Build 8 Python Apps Games and Web Application Python Master
  • Dart & Flutter | The Complete Flutter Development Course
  • About Us
  • Contact Us
  • Privacy Policy
  • Cookies Policy
© Kenya Trends

2025