Mtuliza Bahari Lyrics by Msanii Music Group

Mtuliza Bahari Lyrics by Msanii Music Group

Mtuliza Bahari Lyrics by Msanii Music Group

Ee Baba tumekuja kwako
Twaomba uturehemu
Watoto wako, tu miguuni pako
Tunalia kwa ajili ya mateso
Tunayaona, tunapitia dunia hii
Majirani wametugeuka sisi
Hata mandugu wamekuwa maadui
Wanatutesa kila usiku, kila kuchao

Kimbilio letu ni wewe
Kimbilio pekee, ni wewe

Refrain:
(Bwana) Mwenye uwezo sisi twakutambua
Tukilemewa tunajificha kwako
Wewe ni mwamba, na si tu chini yako
Ukitamka jambo linatendeka
Hata mapepo yote hutawanyika
Nyosha mkono, Mtuliza Bahari

Watch Mtuliza Bahari Lyrics Video Here

Kuna wengi wapepoteza wapendwa wao
Kwa sababu ya chuki
Wapo wengi wamepoteza mali yao
Kwa sababu ya wivu
Kuna wengi wamepoteza mifugo
Wamepoteza mimea yao shambani
Na biashara yao ikaangushwa

Kimbilio letu ni wewe
Kimbilio pekee, ni wewe

FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

Refrain:
(Bwana) Mwenye uwezo sisi twakutambua
Tukilemewa tunajificha kwako
Wewe ni mwamba, na si tu chini yako
Ukitamka jambo linatendeka
Hata mapepo yote hutawanyika
Nyosha mkono, Mtuliza Bahari

Siku ya kiama inarejea
Maswali mengi yataulizwa pale
“Nilikupa jirani umtunze, mbona ukamtenda?”
Miti na mawe ndio mashahidi
Paa la nyumba yako litakukana
Likishuhudia, uliyoyatenda

Refrain:
(Bwana) Mwenye uwezo sisi twakutambua
Tukilemewa tunajificha kwako
Wewe ni mwamba, na si tu chini yako
Ukitamka jambo linatendeka
Hata mapepo yote hutawanyika
Nyosha mkono, Mtuliza Bahari

FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

SHARE THIS POST