Skip to content

Kenya Trends

Jobs | Opportunities | Free Courses | Technology | Crypto | Music

  • Home
  • Jobs & Opportunities
  • Free Resources
  • Udemy Coupons
  • Technology
  • Crypto
  • Music
  • Home
  • Music
  • Bwana Nimerudi Tena Lyrics- Praise Team T.A.G Forest Ya Kwanza Lyrics
  • Music

Bwana Nimerudi Tena Lyrics- Praise Team T.A.G Forest Ya Kwanza Lyrics

Kenya Trends October 27, 2024 1 min read
Bwana Nimerudi Tena Lyrics- Praise Team T.A.G Forest Ya Kwanza Lyrics

Bwana Nimerudi Tena Lyrics- Praise Team T.A.G Forest Ya Kwanza Lyrics

Bwana nimerudi tena
Yesu nakushukuru
wengine sijui
ila mimi Bwana
nimejua umenitendea
Bwana nimerudi tena
Yesu nakushukuru
mengine sijui
ila hili Bwana
nimejua umenitendea X5

Nimeomba mengi
umenijibu moja
umetutendea wengi
mimi nimerudi
japo mengine bado
ila natambua
thamani ya hili moja
ulilolitenda
wale wengine kenda mimi sijui
ila nachojua kwangu umetenda
mengine sijui
ila hili Bwana
nimejua umenitendea

Watch Bwana Nimerudi Tena Lyrics Video Here

Mimi ni Msamaria tu
mtu wa makabila mengine
wala sikustahili haya
uliyonitendea
wengine sijui wanaona nini
ila mimi Bwana
ninauona wema huu wa ajabu

Wenye ukoma tulikuwako
na neno lako
halikufanya makosa
wengine sijui
ila mimi Bwana
nimejua umenitendea

Wenye dhambi tulikuwa wengi
na damu yako ikanitakasa
wengine sijui
ila mimi Bwana
nimejua umenitendea

Utukufu kwako tu
na Heshima zote
(kwako tu)
Umenitenda wema
Umenitenda vyema
Umenitendea wema mkuu X4

Umenitenda wema
Umenitenda vyema
Umenitendea wema mkuu X4

FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

SHARE THIS POST

Copy Link: https://kenyatrends.co.ke/fewx

Continue Reading

Previous: We Bless Lyrics – Sinach & Travis Greene Lyrics
Next: Maandamano Lyrics – Bien ft Breeder LW Lyrics

Related Stories

Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries
3 min read
  • Music

Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries

March 29, 2025
Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers
4 min read
  • Music

Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers

December 29, 2024
Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group
4 min read
  • Music

Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group

December 29, 2024

Recent Posts

  • Remote AI Operations Engineer Job at Institute Of Free Technology
  • 200+ Vacancies Available at Migori County Government
  • AIDS Healthcare Foundation is Hiring 2 Positions in Nairobi, Kenya
  • Remote Python Engineer Job at Canonical
  • Remote Software (ML Product) Engineer (Staff/ Senior, Open Source, Python) Job at Iterative
  • Remote Lead Frontend Engineer Job at Superside
  • Remote QA Software Test Automation Engineer (Java) Job at XM
  • Remote Mobile Engineer(Cross-Platform) Job at Spruce
  • Remote UX Product Designer / Engineer Job at Enveritas
  • Remote Data Scientist & Engineer Job at ElevenLabs
  • About Us
  • Contact Us
  • Privacy Policy
  • Cookies Policy
© Kenya Trends

2025