Skip to content

Kenya Trends

Jobs | Opportunities | Free Courses | Technology | Crypto | Music

  • Home
  • Jobs & Opportunities
  • Free Resources
  • Udemy Coupons
  • Technology
  • Crypto
  • Music
  • Home
  • Music
  • Utakwenda Lyrics – Called to Serve Ministries
  • Music

Utakwenda Lyrics – Called to Serve Ministries

Kenya Trends December 8, 2024 3 min read
Called to Serve Ministries

Called to Serve Ministries

STANZA 1
Katika maisha yangu sijawaiona
mwenye haki ameachwa ataabike
au watoto wake
kuombaomba mitaani
Yeye ni mwaminifu kwa wanadamu
Pendo la Agape ni tabia yake
Ahadi zake zote anatimiza

Ukimwita anaitika
Ukibisha anafungua
Ukimwomba anasikia
Anajibu
Atakuonyesha mambo mengi
makubwa usiyojua
na utashangaa Bwana anayokuwazia

Yeye ni Mungu
aliyekutoa Misri
anakupenda anakujali
mboni ya jicho lake
Uko kiganjani mwake
atakuhifadhi akuchukue salama nawe

Utakwenda Lyrics Video – Called to Serve Ministries

CHORUS
Utakwenda
hata baharini utapita
maji hayatakugharikisha
na nitakufikisha salama
Ahadi nakupa
hata kwenye moto utapita
wala hautakuteketeza
maneno haya asema Bwana

WhatsApp Channel

Utakwenda
hata baharini utapita
maji hayatakugharikisha
na nitakufikisha salama
Ahadi nakupa
hata kwenye moto utapita
wala hautakuteketeza
maneno haya asema
Bwana wa Majeshi

STANZA 2
Waovu wakijipanga kukuharibu
Bwana ni msaada yupo karibu
atakuokoa machoni pao wasikuone
Ukitupwa chini ili uanguke
yeye atakubeba mbawani mwake
atakuokoa mguu wako usiteguke

Tena usiwaogope
wote wauao mwili
usalama wako
uko mikononi mwa Mungu
haeziruhusu baya moja
lije kwako zilione
mikononi mwake atakutunza milele

Yeye ni Mungu
aliyekutoa Misri
anakupenda anakujali
mboni ya jicho lake
Uko kiganjani mwake
atakuhifadhi akuchukue salama nawe

Utakwenda Official Music Video – Called to Serve Ministries

CHORUS
Utakwenda
hata baharini utapita
maji hayatakugharikisha
na nitakufikisha salama
Ahadi nakupa
hata kwenye moto utapita
wala hautakuteketeza
maneno haya asema Bwana

Utakwenda
hata baharini utapita
maji hayatakugharikisha
na nitakufikisha salama
Ahadi nakupa
hata kwenye moto utapita
wala hautakuteketeza
maneno haya asema Bwana

Utakwenda
hata baharini utapita
maji hayatakugharikisha
na nitakufikisha salama
Ahadi nakupa
hata kwenye moto utapita
wala hautakuteketeza
maneno haya asema
Bwana wa majeshi

WhatsApp Channel

Why you Should listen to Christian Music

Listening to Christian music offers profound emotional, spiritual, and mental benefits, serving as a source of comfort, inspiration, and encouragement. The uplifting lyrics and melodies often inspire hope and peace, reminding listeners of God’s love, grace, and faithfulness. Whether navigating personal struggles or celebrating life’s blessings, Christian music helps individuals focus on divine guidance and assurance.

As a powerful tool for worship, Christian music aligns the heart and mind with God’s truths. Many songs draw directly from scripture, reinforcing biblical principles and encouraging spiritual growth. These songs often act as prayers, fostering moments of reflection, gratitude, and connection with God. By emphasizing themes of love, forgiveness, and redemption, Christian music creates a space for believers to meditate on their faith and deepen their relationship with the Creator.

In addition to its spiritual impact, Christian music promotes mental well-being. Listening to positive and uplifting music can reduce stress, improve mood, and offer a sense of hope during difficult times. The messages of faith and perseverance embedded in Christian songs remind listeners to trust in God’s plan and rely on His strength, fostering resilience and peace.

Christian music also plays a significant role in building community. Whether in a church setting, at a concert, or within a small group, shared experiences of worship through music bring people together in unity and purpose. The sense of belonging and mutual encouragement strengthens relationships among believers, reinforcing the idea that faith is a journey best shared.

From personal devotion to communal celebration, Christian music touches lives in transformative ways. Its ability to combine heartfelt worship with therapeutic benefits makes it a unique and invaluable expression of faith. Through its messages of love, hope, and joy, Christian music uplifts the spirit and draws listeners closer to God and to one another.

Follow This WhatsApp Channel to Enjoy Daily Christian Music

Copy Link: https://kenyatrends.co.ke/4poq
Tags: sda

Continue Reading

Previous: Lindo Lyrics – The Lighthouse Ministers
Next: Itakua Aje Lyrics – Msanii Music Group

Related Stories

Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries
3 min read
  • Music

Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries

March 29, 2025
Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers
4 min read
  • Music

Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers

December 29, 2024
Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group
4 min read
  • Music

Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group

December 29, 2024

Recent Posts

  • Remote UX Product Designer / Engineer Job at Enveritas
  • Remote Data Scientist & Engineer Job at ElevenLabs
  • Remote Frontend Engineer I (with Contentful experience) Job at Outliant
  • C#.Net, Associate Engineer Job at CAVISTA – Nigeria
  • Remote (EMEA) Senior Data Analyst, Strategic Marketing Job at Deel.
  • Remote(US) Senior Data Analyst Job at Headspace
  • Remote Data Engineer Job at Deel – EMEA
  • Android apps with artificial Intelligence
  • Build 8 Python Apps Games and Web Application Python Master
  • Dart & Flutter | The Complete Flutter Development Course
  • About Us
  • Contact Us
  • Privacy Policy
  • Cookies Policy
© Kenya Trends

2025