Music
-
Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries
More Details: Hatupoi Lyrics by Called To Serve MinistriesSTANZA 1Milima mikubwa kamwe haiwezi kutuzuiaKilomita nyingi na mapana kwetu sio kikwazoMaji ya vina virefu kamwe hayawezi kuzimaMoto huu wa injili sasa tumeuwasha PRE-CHORUSNalo giza litatoweshwaNa moto huu uletao nuruUdanganyifu unatupiliwa kando mbaliBendera ya Yesutunaipepea dunia yote itambueHatupoi tumekwisha washa moto Hatupoi Lyrics Video – Called To Serve Ministries CHORUSKamwe hatupoi hatupoi tuko kaziniUkiwapo upinzani…
-
Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers
More Details: Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel MinistersCHORUSNi kwa muda tushida za dunia zitapitatusikate tamaajapo safari imezidi kuwa ngumumagumu tunayopitiaYesu ndiye suluhisho kwa maisha yetuAmini kwake yeye mwaminifuatatatua shida zetu zotetukifika ng’ambo ya mtomachozi yatafutwa Mterehemezi Lyrics Video by Sifu Gospel Ministers Ni kwa muda tushida za dunia zitapitatusikate tamaajapo safari imezidi kuwa ngumumagumu tunayopitiaYesu ndiye suluhisho kwa maisha yetuAmini kwake yeye…
-
Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group
More Details: Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music GroupSTANZA 1Uliza mwenzakoJe watamani nini duniani?Bila shaka atajibu“nataka maisha bora”Soft lifendio ndoto ya kila mwanadamuwa siku ya leo kweliNile ninywe nivae vizurina kuzipiga sherehejambo twapaswa kulielewa sanaduniani hakuna mapumzikoFanya bidii sasaKungali mchanatufanye yote aliyoagizandipo ajapo na ujira wake mkononitutapata malipo mapumziko Nyumbani Mwa Baba Lyrics by Msanii Music Group CHORUSNyumbaniNyumbani mwa Babahakuna changamoto kama dunianiNyumbani…
-
Nitauimba Wimbo Lyrics by Maombi Samson
More Details: Nitauimba Wimbo Lyrics by Maombi SamsonCHORUS (SWAHILI)Nitauimba wimbo huuwimbo ulio wa kusifuroho nzito ya huzuni iwe huruTaendelea kwa sifa iliyobebasiri kwamba kwa Yesu kuna uhurunitazizima sauti zinazovuta watukwa shimo la kukata tamaakwa wimbo mtamu wa furahaanakuja upesi kwa ajili yangu nawe Nitauimba Wimbo Lyrics Video by Maombi Samson STANZA 1 (SWAHILI)Ni wimbo ambao umebebaujumbe kwa pamojakatika usiku kuuna wimbo huo…
-
Burna Boy’s Triumphant Return: Kenya’s Biggest 2025 Concert Awaited with Excitement and Anticipation
More Details: Burna Boy’s Triumphant Return: Kenya’s Biggest 2025 Concert Awaited with Excitement and AnticipationBurna Boy, the internationally acclaimed Nigerian artist and one of Africa’s most celebrated musicians, is set to captivate fans in Nairobi with his electrifying presence. Mark your calendars for March 1, 2025, as the African Giant himself promises a spectacular musical extravaganza that Kenyan fans won’t soon forget. At 33 years old, Burna Boy—born Damini…
-
Mary Did You Know Lyrics – Don Moen
More Details: Mary Did You Know Lyrics – Don MoenMary did you knowThat your baby boy will one day walk on water?Mary did you knowThat your baby boy will save our sons and daughters?Did you knowThat your baby boy has come to make you new?This child that you’ve deliveredWill soon deliver you Mary Did You Know Lyrics Video – Don Moen Mary did you…
-
Itakua Aje Lyrics – Msanii Music Group
More Details: Itakua Aje Lyrics – Msanii Music GroupCHORUS Itakua aje?Je siku hiyo itakua aje?Itakua aje?Siku ya Bwana itakua aje?Tukikutana na wenzetutuloagana dunianiitakua aje itakua aje? Itakua aje?Je siku hiyo itakua aje?Itakua aje?Siku ya Bwana itwakua aje?Tukikutana na wenzetutuloagana dunianiitakua aje itakua aje? Itakuaje Lyrics Video – Msanii Music Group STANZA 1Dunia inatutesa wanadamukila mahali ni vilio watu waombolezaajali nyingi na majonjwa yasiyo…
-
Utakwenda Lyrics – Called to Serve Ministries
More Details: Utakwenda Lyrics – Called to Serve MinistriesSTANZA 1Katika maisha yangu sijawaionamwenye haki ameachwa ataabikeau watoto wakekuombaomba mitaaniYeye ni mwaminifu kwa wanadamuPendo la Agape ni tabia yakeAhadi zake zote anatimiza Ukimwita anaitikaUkibisha anafunguaUkimwomba anasikiaAnajibuAtakuonyesha mambo mengimakubwa usiyojuana utashangaa Bwana anayokuwazia Yeye ni Mungualiyekutoa Misrianakupenda anakujalimboni ya jicho lakeUko kiganjani mwakeatakuhifadhi akuchukue salama nawe Utakwenda Lyrics Video – Called to Serve Ministries CHORUSUtakwendahata…
-
Lindo Lyrics – The Lighthouse Ministers
More Details: Lindo Lyrics – The Lighthouse MinistersSTANZA 1Katika Lindo nyumbanimwa mkuu wa askarigerezanimaakida wawili wa Pharaowakatupwa humokatika ndoto wakafadhaikawakapata huduma za Yusufuakawafasiria ndoto zaoYusufukwa uweza wa Mungu Lindo Lyrics Video – The Lighthouse Ministers Katika Lindo nyumbanimwa mkuu wa askarigerezanimaakida wawili wa Pharaowakatupwa humokatika ndoto wakafadhaikawakapata huduma za Yusufuakawafasiria ndoto zaoYusufukwa uweza wa Mungu CHORUSUnikumbuke nikumbukeutakapopata neemaukanifanyie fadhiliukanitaje kwa PharaoOmbi lake…
-
Imba Lyrics – Celah Gospel | AMAC Awards 2024
More Details: Imba Lyrics – Celah Gospel | AMAC Awards 2024STANZA 1 Kuna wengihawajatambua chao kipajiIla weweMola amekujalia uimbajiMmmh Tunalo moja kwakoswali ni mojaJe watumia uimbaji wako vipikuwatafuta au kuwapotezakondoo wa MunguUlimwenguniOle wako unayechanganyauimbaji wako na fitinana siasa na ugomvina kiburi cha moyosio wewe uliye wa kwanzakuwa na talanta ya kuimbanyenyekea tulia shukuruImba Imba Lyrics Video – Celah Gospel CHORUSJiunge nasi tuimbe pamojashukrani na sifa…
-
Hapa Ni Wapi Lyrics – Vocals Of Praise
More Details: Hapa Ni Wapi Lyrics – Vocals Of PraiseSTANZA 1Jambo fulani lilinitatiza sanamtu aliposema ndoa haiweziwakati aliyeweka misingi ya duniana akapanga mfumo wa juandiye mwanzilishi wa ndoa kule Edeniakipanga hakuna wa kupangualeo twashuhudia ari yake takatifumsioamini hapa ni wapi sasa Hapa Ni Wapi Lyrics Video – Vocals Of Praise PRE CHORUSHapa ni Wapi?Hawa ni Nani? CHORUSTuambieniHapa ni penye upendoHawa ni Nani?Hawa ni ndege…
-
Hitaji Langu Lyrics — The Saints Ministers
More Details: Hitaji Langu Lyrics — The Saints MinistersSTANZA 1E Mungu tumekutumikiakwa muda sasamaneno ya vinywa vyetuyakutangaza wewetunalo ombi moja tuusije ukatusahauwasiokujua watudharauwakitazama maisha yetu Hitaji Langu Lyrics Video – The Saints Ministers CHORUSHitaji langunyumbani mwa Bwananikae milele nitapoishiHitaji langu la moyoninikusifu Mungu hadi nilale STANZA 2E Mungu ujidhihirishekwa matendo yetutuwe barua kusomeka waziwanafiki wasipate sababukutusi jina lakoila Bwana la pili twaombauwe mwelekezi…
-
Ed Sheeran – Under the Tree Lyrics (from “That Christmas”)
More Details: Ed Sheeran – Under the Tree Lyrics (from “That Christmas”)I’m alone this DecemberIt’s the last light of the dayOh, I can’t help but wonderIf you feel the sameOh I guess I’ll surrenderTo the tears and the painAnd the cold we are underWill remain You were the hearth light, my fire, that diedWaiting for morning sunrise Watch Lyrics Video Here There is nothing under the…
-
Ee Baba Lyrics — Light Bearers TZ
More Details: Ee Baba Lyrics — Light Bearers TZSTANZA 1Ee Baba uliye mbinguniJina lako litukuzweAsante kwa uzima na afyaMibaraka yako naionaNaimba kwa furaha teleAmani yako imejaa moyoniFamilia yangu yakusifuEwe Mungu uhimidiweDaima twaziimba sifa zakoHalleluyah usifiwe CHORUSNami nitakuimbiasiku zangu zoteAsante Mwokozikwa wema wako kwangu X2 Watch Ee Baba by Light Bearers TZ Lyrics Video Here STANZA 2Umenipa na mavazimakaazi nayo kazi pianacho chakula mezani…
-
Amewafanyia Amani Lyrics – Vocals Of Praise | The Sitatis Wedding
More Details: Amewafanyia Amani Lyrics – Vocals Of Praise | The Sitatis WeddingSTANZA 1Alikosa amani AdamuPale Edeni kwa kuwa peke yakeKutazama kote wanyama wawili wawiliWa kiume na wa kikeMungu aliwaumbaHata Mungu akaonasi vyema awe peke yake,Adamuakamfanyia msaidizi Alikosa amani AdamuPale Edeni kwa kuwa peke yakeKutazama kote wanyama wawili wawiliWa kiume na wa kikeMungu aliwaumbaHata Mungu akaonasi vyema awe peke yake,Adamuakamfanyia msaidizi Amewafanyia Amani Lyrics Video | Vocals…
-
Kasongo Ye Ye Lyrics – Orchestra Super Mazembe (with Translation)
More Details: Kasongo Ye Ye Lyrics – Orchestra Super Mazembe (with Translation)Kasongo Ye Ye Lyrics [Chorus]Kasongo ye ye eeMobali na ngai[my husband]Kasongo nga nawe oo[Kasongo i am dying]Zonga libala ee[come back to the marriage]x2 Kasongo yo yo, mobali na ngai[Kasongo my husband]Kasongo nga nawe oo[Kasongo i am dying]Zonga libala ee[come back to the marriage] Watch Kasongo Ye Ye Lyrics Video Here: [Chorus] Kasongo ye ye eeMobali…
-
Uinuliwe Bwana Lyrics – Christ Followers Ministers Lyrics
More Details: Uinuliwe Bwana Lyrics – Christ Followers Ministers LyricsUinuliwe Bwana Lyrics by Christ Followers Ministers VERSE 1Uinuliwe Bwana, Upewe Sifa YahwehMaana hakuna jina jingine linalofaa sifaMatendo yako makuu, Misri wanakutambuaUlivyotuinua kwa mkono wakotukashinda maadui zetu Uinuliwe Bwana, Upewe Sifa YahwehMaana hakuna jina jingine linalofaa sifaMatendo yako makuu, Misri wanakutambuaUlivyotuinua kwa mkono wakotukashinda maadui zetu CHORUSE Bwana twategemea uwepo wakoili tuweze kuvuka ng’amboTwatamani kama Miriamu…
-
All That Matters Lyrics – Minister GUC Lyrics
More Details: All That Matters Lyrics – Minister GUC LyricsI’ll put you in frontin front of my melodyyou’re all that mattersyou’re all that mattersi’ll make room for twoyou and i jesusyou’re all that mattersyou’re all that matters owei, owei (yes, yes)you’re all that mattersowei, owei (yes, yes)you’re all that mattersowei, owei (yes, yes) you’re all that matters what would i live forif i don’t have you in my lifewhat would i gainif you…
-
Yeriko Lyrics by Israel Mbonyi Lyrics
More Details: Yeriko Lyrics by Israel Mbonyi LyricsVerse : Tumekuwa na muda tukiomba, tukikuomba uyatimize, … asante Asante bwana, Kuyatoa yaliyo tulemea.. Sasa tazama, milango yote imefunguka.. Asante Mungu, Kuyatoa yaliyo tulemea.. Asante Verse (Swahili) : Njooni mtazame Yeriko, kuta zinaanguka, hizo zaanguka Shangilieni, Imbeni kwa shangwe, hizo zaanguka Twaingia kwa sifa ndani ya agano, Kuta zaanguka Verse (Kinyarwanda) Muze murebe Yeriko,…
-
Niseme Nini Baba Ninakushukuru Lyrics by Dr Ipyana
More Details: Niseme Nini Baba Ninakushukuru Lyrics by Dr IpyanaNiseme Nini Baba Ninakushukuru Lyrics by Dr Ipyana Uliyoyatenda kwangu ni mengi Shuhuda Zako hazielezeki Umefanya hili, Umefanya lile, Umenipa jina Baba ninakushukuru Uliyoyatenda kwangu ni mengi Shuhuda Zako hazielezeki Umefanya hili Umefanya lile Umenipa jina Baba ninakushukuru Niseme nini, siwezi kueleza Baba ninakushukuru Umefanya mengi, siwezi kueleza Baba ninakushukuru Nikulipe nini, kwa yote Umetenda…
-
Yanitosha Lyrics by Israel Mbonyi Lyrics
More Details: Yanitosha Lyrics by Israel Mbonyi LyricsYanitosha Lyrics by Israel Mbonyi Nimesulubiwa nae, lakini mi niko hai Si mimi tena, Kristo ndani yangu Nitajisifia udhaifu wangu, kwa furaha nyingi Ili uweza wake ukae juu yangu Yote nitendayo ni kwa imani Sitaibatili neema ya Mungu kamwe Yanitosha neema ya mungu Ndio uzima kuyatambuwa Kwenye mapungufu yangu Ndipo nguvu zake Zatiimiya Kwenye mapungufu…
-
Shusha Nyavu Lyrics – Msanii Music Group Lyrics
More Details: Shusha Nyavu Lyrics – Msanii Music Group LyricsAkiinua hakuna atayenishushaAkibariki hakuna atayelaaniAkikubali hakuna atakayekanushaNeno lake lazima litimie,Akiinua hakuna atayenishushaAkibariki hakuna atayelaaniAkikubali hakuna atakayekanushaNeno lake lazima litimie kwangu Wale wanafunzi wake YesuWalishinda usiku kuchaWakivua samaki bahariniHadi asubuhiWasipate samaki hata mmojaWakamwona YesuKasimama ufukweni mwa bahari Watch Shusha Nyavu Lyrics Video Here: Akawaambia tupeni nyavu zenuUpande wa kulia wa mashuaWalishindwa kuwavuta samaki wengiAa walishangaa sanaJe…
-
Mbele Mbele Lyrics by Christ Followers Ministers Lyrics
More Details: Mbele Mbele Lyrics by Christ Followers Ministers LyricsMbele Mbele Lyrics by Christ Followers Ministers VERSE 1Mbele Mbele mimi nasafirina tusirudi nyuma penye upotowemimi ni mrithi pamoja nayenikiteswa pamoja nayekwa maana nayahesabu matesoya wakati huu wa sasa si kitukama utukufu uleutakaofunuliwa kwetu watoto wakeX2 CHORUSKila kiumbe chenye uhaibasi kimtukuze Bwanaaliyoyatenda ni makuupale patakatifu pakemsifuni katika anga la uwezausiogope paza sauti kwa Bwanamtolee nadhiri…
-
Nimekuachia Wewe Lyrics by Christ Followers Ministers Lyrics
More Details: Nimekuachia Wewe Lyrics by Christ Followers Ministers LyricsNimekuachia Wewe Lyrics by Christ Followers Ministers INTRO(Nimekuachia wewe)Nimekuachia wewemaisha yangu utawaletawala kinywa changumawazo yangu na matendotawala mapito yanguyakajae baraka zakonitembee kwenye mwangauwakao kwenye gizaX2 STANZA 1E Bwana mizigo yangusitaweza kuibeba mimimaana ni mizitomabegani yanilemea mimiBwana jidhihirishekwenye unyonge wanguvita hivi sitaviwezaninakuhitajiX2 Watch Nimekuachia Wewe Lyrics Video Here CHORUS(Nimejisalimisha)Nimejisalimishakwako ewe Bwanamaisha yangu yoteuyatawalenjia ya mbinguniijapo finyu…
-
Mtuliza Bahari Lyrics by Msanii Music Group
More Details: Mtuliza Bahari Lyrics by Msanii Music GroupMtuliza Bahari Lyrics by Msanii Music Group Ee Baba tumekuja kwakoTwaomba uturehemuWatoto wako, tu miguuni pakoTunalia kwa ajili ya matesoTunayaona, tunapitia dunia hiiMajirani wametugeuka sisiHata mandugu wamekuwa maaduiWanatutesa kila usiku, kila kuchao Kimbilio letu ni weweKimbilio pekee, ni wewe Refrain:(Bwana) Mwenye uwezo sisi twakutambuaTukilemewa tunajificha kwakoWewe ni mwamba, na si tu chini yakoUkitamka jambo linatendekaHata…
-
Mpeanaji Lyrics – Msanii Music Group Lyrics
More Details: Mpeanaji Lyrics – Msanii Music Group LyricsMpeanaji Lyrics by Msanii Music Group STANZA 1Mwimbajiuna kazi yeyote unayofanyaama ni kuimba imba tuSio kuimba imba tuila ninamsifu Muumba wanguMahitaji ninayo ayashughulikiana mimi najikuta nasonga mbeleNa ushike ufalme wakena hayo mengine atakujalia Jiulize mwaka jana uliishajehaujakesha kwa nyumba ya daktariJamani kazi ya Mungu inalipaingawa anapenda watu wote sawaametupa nafasi tumkumbuketufanye kazi yake tungali na…
-
Wewe Ni Mungu Lyrics – Christ Followers Ministers Lyrics
More Details: Wewe Ni Mungu Lyrics – Christ Followers Ministers LyricsWewe Ni Mungu Lyrics by Christ Followers Ministers STANZA 1Nimekulilia sana usikie dua languewe Bwana wanguninayo majonzi mengi sananina hadithi kubwanisimulie kwako, japojapo nimepitia mengiya kunivunja moyoninalo shuhuda wewe ni MunguNa unao uwezo wa kuyatengenezamambo mazito moyoni mwangu yatulieX2 CHORUS(We ni Mungu)We ni MunguWe ni Mungu wa miungu(wa majeshi)We ni MunguUna uwezo wa kushindaMbona nisumbuke…
-
Sifa Kwa Bwana Lyrics – Light Bearers TZ Lyrics
More Details: Sifa Kwa Bwana Lyrics – Light Bearers TZ LyricsSTANZA 1Sauti yangu yaimbasifa zako Bwanakinywa changu chatangazawema wako BwanaKatika siku zangu za kushinimeshuhudia mambo mengi sanaMambo makuu sana uliyonitendeaMambo makuu sana siwezi kueleza PRE-CHORUSMkono wako ulinilindaNikiwa tumboni mwa mamaSiku yangu ya kuzaliwa ilipofikanikawasili salamaE Bwana, Pokea sifa zangu Watch Sifa Kwa Bwana Lyrics Video Here CHORUSNina, Nina-Ipaza sauti yanguNiki-Nikiimba Nikiimbasifa zako BwanaWasta Wasta Wasta-hili…
-
Heri Taifa Lyrics – Israel Mbonyi Lyrics
More Details: Heri Taifa Lyrics – Israel Mbonyi LyricsHeri Taifa Lyrics by Israel Mbonyi VERSENikasikia sauti nyikaniTengenezeni njia yake,nyosheni mapito yake Sogeleeni kiti cha neemaMpate utakasoOh what a blessingOh what a grace PRE CHORUSHeri aoshaye,Kanzu yake ndani ya damuAkiliamini neno alilo ambiwa nayeAtakua kama Mti kando ya majiMajani yake huyo,Yatakua mabichi daima. Watch Heri Taifa Lyrics Video Here: CHORUSHeri walio na hilo aganoWanaye…
-
Unirehemu Lyrics – Your Voice Melodies Lyrics
More Details: Unirehemu Lyrics – Your Voice Melodies LyricsUnirehemu Your Voice Melodies Lyrics STANZA 1E Mungu Wangu – MimiUnirehemu sawasawa na fadhili zakokiasi cha wingi wa rehema zakouyafute makosa yanguUnioshe kabisa na uovu wanguunitakase dhambi zangumaana ninajua mimi makosa yanguX2 CHORUSNimekutenda dhambi wewe peke yakona kufanya maovu mbele ya macho yakoMungu nirehemu nisitende dhambi tenaujulikane kwa watu wotekuwa wewe una haki unenapona kuwa…
-
Thank You Lord Lyrics – Don Moen Lyrics
More Details: Thank You Lord Lyrics – Don Moen LyricsI come before You todayAnd there’s just one thing that I want to sayThank You LordThank You LordFor all You’ve given to meFor all the blessings that I can not seeThank You LordThank You Lord With a grateful heartWith a song of praiseWith an outstretched armI will bless Your nameThank You LordI just wanna thank…
-
Mungu Ni Mmoja Lyrics – Bella Kombo ft Evelyn Wanjiru ft Neema Gospel Choir
More Details: Mungu Ni Mmoja Lyrics – Bella Kombo ft Evelyn Wanjiru ft Neema Gospel ChoirAyayeeeh AyayeeehThe King of Glory is hereAyayeeh ee ayaahehHe is here Utamwambia Nini ukimwona?Utamwambia Nini ukimwona?tuainama tunasujuduMungu ni mmoja tu Watch Mungu Ni Mmoja Lyrics Video Here AyayeeehThe King of Glory is hereAyayeeh ee ayaahehHe is here X3 FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES So Mungu yuko mmoja tuYaani Niko ambaye NikoPokelea sifa za…