Skip to content

Kenya Trends

Jobs | Opportunities | Free Courses | Technology | Crypto | Music

  • Home
  • Jobs & Opportunities
  • Free Resources
  • Udemy Coupons
  • Technology
  • Crypto
  • Music
  • Home
  • Music
  • Mpenzi Lyrics by Revivers Ministers
  • Music

Mpenzi Lyrics by Revivers Ministers

Kenya Trends October 28, 2024 1 min read
Mpenzi by Revivers Ministers Kisii

Mpenzi by Revivers Ministers Kisii

STANZA 1
Tazama U mzuri mpenzi wangu
U mzuri macho yako ni kama ya ua
mashavu yako ni mazuri kwa mashada
shingo yako kwa mikufu ya vito
kwa mtupo mmoja wa macho yako
wanivuta karibu nawe
amka kaskazi nawe uje kusi wala usiondoke
bali udumu katika bustani langu
ewe malkia U mzuri
na harufu ya marhamu yako yapita
manukato ya kila namna

FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

Watch Mpenzi Lyrics Video Here

CHORUS
Je hamtambui fumbo hili wakristo
ya kwamba mwanamke ndiye kanisa
na Yesu ndiye Bwana harusi
anayelipenda kanisa lake
Bwana harusi aita kwa upole
mrudi zizini mwake, maana anatupenda
alitoa maisha yake kwa ajili yetu

STANZA 2
Mpenzi Yesu aita, kwa sauti ya upole
turudi zizini mwake, muda umeyoyoma ndugu
tutubu dhambi zetu, ili akija yeye Mungu
asitupate katika usingizi wa dhambi

FOLLOW OUR WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

SHARE THIS POST

Copy Link: https://kenyatrends.co.ke/m3a8

Continue Reading

Previous: Pahali Pema Lyrics – Christ Followers Ministers Kisii
Next: My Only Hope is You Lyrics – Keith Lancaster

Related Stories

Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries
3 min read
  • Music

Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries

March 29, 2025
Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers
4 min read
  • Music

Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers

December 29, 2024
Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group
4 min read
  • Music

Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group

December 29, 2024

Recent Posts

  • Remote UX Product Designer / Engineer Job at Enveritas
  • Remote Data Scientist & Engineer Job at ElevenLabs
  • Remote Frontend Engineer I (with Contentful experience) Job at Outliant
  • C#.Net, Associate Engineer Job at CAVISTA – Nigeria
  • Remote (EMEA) Senior Data Analyst, Strategic Marketing Job at Deel.
  • Remote(US) Senior Data Analyst Job at Headspace
  • Remote Data Engineer Job at Deel – EMEA
  • Android apps with artificial Intelligence
  • Build 8 Python Apps Games and Web Application Python Master
  • Dart & Flutter | The Complete Flutter Development Course
  • About Us
  • Contact Us
  • Privacy Policy
  • Cookies Policy
© Kenya Trends

2025