Skip to content

Kenya Trends

Jobs | Opportunities | Free Courses | Technology | Crypto | Music

  • Home
  • Jobs & Opportunities
  • Free Resources
  • Udemy Coupons
  • Technology
  • Crypto
  • Music
  • Home
  • Music
  • Maandamano Lyrics – Bien ft Breeder LW Lyrics
  • Music

Maandamano Lyrics – Bien ft Breeder LW Lyrics

Kenya Trends October 27, 2024 1 min read
Maandamano Lyrics - Bien ft Breeder LW Lyrics

Maandamano Lyrics - Bien ft Breeder LW Lyrics

[BIEN]
Wanadhania Si Bongolala
Ikikupita we Bongolala
Na walosema jana
haiwezifika leo
Tuko Ground Tunazoza

Na jiji kuu kumewaka sana
Kuna mabeast
wanachafua rada
Na walosema jana
haiwezifika leo
Tuko Ground Tunazoza

Aah Hakuna Mboka
Wapeleke shuleni
watasoma
madaktari wamegoma
hapa sa ni Yesu
atatuponya

Watch Maandamano Lyrics Video Here

waambie punda
imechoka sana
farasi bado haijapatikana
Ni mandai wanagonya
na mali wanabonda
tunakonda wananona

Maandamano Maandamano X4
Mapambano Maandamano X2

[BREEDER LW]
Independent 60 Years
Tuliambiwa ni self-rule
Billions of Billions
tunaibiwa na the same crooks

Tunalipa madeni
hizo ndio maexcuse
hii ni Generation Z
Tuezi-make the same moves

Watch Official Visualizer Here

Occupy Parliament
Twende Maandamano
Tribeless, Partyless
Hiyo ndo Msimamo

They Killing Us
kwa protests
Si bado tunamarch on
RIP to our heroes
Washa Candles

Haki iwe ngao na mlinzi
Nionyeshe politician mgani
mwenye si mwizi

Sunday wako church
Pastor kuwabariki
Monday cheki news
another scandal iko kwa TV

Kuna shughuli inatakanga mbogi
You must Go
Tunaimba kwa maploti

Hujengi shule
Hakuna madawa kwa hosi
Tumejam usijifanye hujanotice

Maandamano Maandamano X4
Mapambano Maandamano X2

Maandamano Maandamano X4
Mapambano Maandamano X2

FOLLOW THIS WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

SHARE THIS POST

Copy Link: https://kenyatrends.co.ke/7yn7

Continue Reading

Previous: Bwana Nimerudi Tena Lyrics- Praise Team T.A.G Forest Ya Kwanza Lyrics
Next: Inakuwashia Nini Lyrics – Size 8 ft Wapendwa Muziki

Related Stories

Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries
3 min read
  • Music

Hatupoi Lyrics by Called To Serve Ministries

March 29, 2025
Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers
4 min read
  • Music

Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers

December 29, 2024
Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group
4 min read
  • Music

Nyumbani Mwa Baba Lyrics Soft Life by Msanii Music Group

December 29, 2024

Recent Posts

  • 200+ Vacancies Available at Migori County Government
  • AIDS Healthcare Foundation is Hiring 2 Positions in Nairobi, Kenya
  • Remote Python Engineer Job at Canonical
  • Remote Software (ML Product) Engineer (Staff/ Senior, Open Source, Python) Job at Iterative
  • Remote Lead Frontend Engineer Job at Superside
  • Remote QA Software Test Automation Engineer (Java) Job at XM
  • Remote Mobile Engineer(Cross-Platform) Job at Spruce
  • Remote UX Product Designer / Engineer Job at Enveritas
  • Remote Data Scientist & Engineer Job at ElevenLabs
  • Remote Frontend Engineer I (with Contentful experience) Job at Outliant
  • About Us
  • Contact Us
  • Privacy Policy
  • Cookies Policy
© Kenya Trends

2025