Inakuwashia Nini Lyrics – Size 8 ft Wapendwa Muziki

Inakuwashia Nini Lyrics - Size 8 ft Wapendwa Muziki Lyrics

Nimepita mtaa fulani
Wakasema mama Wambo
Tumbo kubwa
unanona zaidi

Nimepita mtaa fulani
Wamenicheka sana
wananiita Toothpick
ati nimekonda zaidi

Aaah
Nimepita mtaa fulani
kichecko na kicheko
I’m not a real man
Ati juu sina misuli

Inakuwashia nini?
Inakusumbua nini?
Maumbile yangu
Inakusumbua nini?

Inakuwashia nini?
Inakusumbua nini?
Maumbile yangu
Inakuwashia nini?

Natembea kwa ujasiri
Natembea kwa ujasiri
Nina Yesu Moyoni
amenipa ujasiri

Oh ninone nikonde
rangi ya thao nikose
nina Yesu moyoni
amenipa ujasiri X2

Oooh Aaah
Oooh Aaah X2

Nimesikia
Nimesikia sauti ya upole
ikiniambia
Ninatosha nilivyo

Aliniumba kwa urembo
na mfano wake
ninatosha
jinsi nilivyo

Niwe mweusi ni sawa
Na niwe mweupe ni sawa
Maumbile yangu
inakuwashia nini?

Niwe mfupi ni sawa
Na niwe mrefu ni sawa
Maumbile yangu
inakuwashia nini?

Inakuwashia nini?
Inakusumbua nini?
Maumbile yangu
Inakusumbua nini?

Inakuwashia nini?
Inakusumbua nini?
Maumbile yangu
Inakuwashia nini?

Natembea kwa ujasiri
Natembea kwa ujasiri
Nina Yesu Moyoni
amenipa ujasiri

Oh ninone nikonde
rangi ya thao nikose
nina Yesu moyoni
amenipa ujasiri X2

Oooh Aaah
Oooh Aaah X2

FOLLOW THIS WHATSAPP CHANNEL FOR MORE UPDATES

SHARE THIS POST