STANZA 1
Alikosa amani Adamu
Pale Edeni kwa kuwa peke yake
Kutazama kote wanyama wawili wawili
Wa kiume na wa kike
Mungu aliwaumba
Hata Mungu akaona
si vyema awe peke yake,
Adamu
akamfanyia msaidizi
Alikosa amani Adamu
Pale Edeni kwa kuwa peke yake
Kutazama kote wanyama wawili wawili
Wa kiume na wa kike
Mungu aliwaumba
Hata Mungu akaona
si vyema awe peke yake,
Adamu
akamfanyia msaidizi
Amewafanyia Amani Lyrics Video | Vocals Of Praise
PRE-CHORUS
Alipata amani Adamu
Kwa kupata msaidizi
hawa leo tumerudi kule Edeni
Ametufanyia amani
Bibi Harusi wewe, Amekufanyia amani
Bwana Harusi wewe, Amekufanyia amani
Umepata wako msaidizi
toka kwa Mungu
Amewafanyia amani
(Umempata)
Umepata wako msaidizi
toka kwa Mungu
Amewafanyia amani
CHORUS
Sasa magombano, hapana
Na vita, hapana
Ugomvi, hapana
Upendo utawale
Kutovumiliana, hapana
Kutoelewana, hapana
Nyumbani mwenu upendo utawale
Sasa magombano, hapana
Na vita, hapana
Ugomvi, hapana
Upendo utawale
Kutoelewana, hapana
Kutovumiliana, hapana
Nyumbani mwenu upendo utawale
STANZA 2
Do you do my Baby?
Yes, Yes I do
Do You do?
Yes, Yes I do
Do You do?
Yes, Yes I do
Do You do?
Nyumbani mwetu upendo utawale
Amenifanyia Amani Official Video Here | Vocals Of Praise
Baby, Baby, Baby, Baby
Do you do?
Yes, Yes I do
Do You do?
Yes, Yes I do
Do You do?
Yes, Yes I do
Do You do?
Nyumbani mwetu upendo utawale
CHORUS
Sasa magombano, hapana
Hapana chuki, hapana
Hapana vita, hapana
Upendo utawale
Hapana ugomvi, hapana
Hapana na vita, hapana
Nyumbani mwenu upendo utawale
Sasa magombano, hapana
Na vita, hapana
Ugomvi, hapana
Upendo utawale
Kutoelewana, hapana
Kutovumiliana, hapana
Nyumbani mwenu upendo utawale
BRIDGE
Mungu amefanya
Amewafanyia amani
Amefanya tena
Amewafanyia amani
Kaondoa upweke wenu
kawaunganisha kwa pendo