STANZA 1
Katika Lindo nyumbani
mwa mkuu wa askari
gerezani
maakida wawili wa Pharao
wakatupwa humo
katika ndoto wakafadhaika
wakapata huduma za Yusufu
akawafasiria ndoto zao
Yusufu
kwa uweza wa Mungu
Lindo Lyrics Video – The Lighthouse Ministers
Katika Lindo nyumbani
mwa mkuu wa askari
gerezani
maakida wawili wa Pharao
wakatupwa humo
katika ndoto wakafadhaika
wakapata huduma za Yusufu
akawafasiria ndoto zao
Yusufu
kwa uweza wa Mungu
CHORUS
Unikumbuke nikumbuke
utakapopata neema
ukanifanyie fadhili
ukanitaje kwa Pharao
Ombi lake Yusufu
baada ya fasiri
mnyweshaji hakujali
kamsahau Yusufu
Unikumbuke nikumbuke
utakapopata neema
ukanifanyie fadhili
ukanitaje kwa Pharao
Ombi lake Yusufu
baada ya fasiri
mnyweshaji hakujali
kamsahau Yusufu
Bible Verse
Genesis 41:1-12 recounts Pharaoh’s troubling dreams and his search for an interpreter. After two years in prison, Joseph is remembered by Pharaoh’s cupbearer, who recalls Joseph’s ability to interpret dreams. Pharaoh summons Joseph, hoping for insight. The passage highlights divine timing, God’s sovereignty, and Joseph’s unique, God-given wisdom.
STANZA 2
Hisani zipi
umetendewa na wenzako
mhitaji
Unapata puuza, kudhamiri
huna shukurani
hata neema ilo ya Mwenyezi
alotutunuku tunapuuza
tuwe watiifu kwa shukrani
Mwenyezi atapendezwa
Lindo Music Video – The Lighthouse Ministers
Hisani zipi
umetendewa na wenzako
mhitaji
Unapata puuza, kudhamiri
huna shukurani
hata neema ilo ya Mwenyezi
alotutunuku tunapuuza
tuwe watiifu kwa shukrani
Mwenyezi atapendezwa
CHORUS
Unikumbuke nikumbuke
utakapopata neema
ukanifanyie fadhili
ukanitaje kwa Pharao
Ombi lake Yusufu
baada ya fasiri
mnyweshaji hakujali
kamsahau Yusufu
Unikumbuke nikumbuke
utakapopata neema
ukanifanyie fadhili
ukanitaje kwa Pharao
Ombi lake Yusufu
baada ya fasiri
mnyweshaji hakujali
kamsahau Yusufu
Unikumbuke nikumbuke
utakapopata neema
ukanifanyie fadhili
ukanitaje kwa Pharao
Ombi lake Yusufu
baada ya fasiri
mnyweshaji hakujali
kamsahau Yusufu
Unikumbuke nikumbuke
utakapopata neema
ukanifanyie fadhili
ukanitaje kwa Pharao
Ombi lake Yusufu
baada ya fasiri
mnyweshaji hakujali
kamsahau Yusufu
Unikumbuke nikumbuke
utakapopata neema
ukanifanyie fadhili
ukanitaje kwa Pharao
Ombi lake Yusufu
baada ya fasiri
mnyweshaji hakujali
kamsahau Yusufu
Why you Should listen to Christian Music
Listening to Christian music offers profound emotional, spiritual, and mental benefits, serving as a source of comfort, inspiration, and encouragement. The uplifting lyrics and melodies often inspire hope and peace, reminding listeners of God’s love, grace, and faithfulness. Whether navigating personal struggles or celebrating life’s blessings, Christian music helps individuals focus on divine guidance and assurance.
As a powerful tool for worship, Christian music aligns the heart and mind with God’s truths. Many songs draw directly from scripture, reinforcing biblical principles and encouraging spiritual growth. These songs often act as prayers, fostering moments of reflection, gratitude, and connection with God. By emphasizing themes of love, forgiveness, and redemption, Christian music creates a space for believers to meditate on their faith and deepen their relationship with the Creator.
In addition to its spiritual impact, Christian music promotes mental well-being. Listening to positive and uplifting music can reduce stress, improve mood, and offer a sense of hope during difficult times. The messages of faith and perseverance embedded in Christian songs remind listeners to trust in God’s plan and rely on His strength, fostering resilience and peace.
Christian music also plays a significant role in building community. Whether in a church setting, at a concert, or within a small group, shared experiences of worship through music bring people together in unity and purpose. The sense of belonging and mutual encouragement strengthens relationships among believers, reinforcing the idea that faith is a journey best shared.
From personal devotion to communal celebration, Christian music touches lives in transformative ways. Its ability to combine heartfelt worship with therapeutic benefits makes it a unique and invaluable expression of faith. Through its messages of love, hope, and joy, Christian music uplifts the spirit and draws listeners closer to God and to one another.
Follow This WhatsApp Channel to Enjoy Daily Christian Music