STANZA 1
Kuna wengi
hawajatambua chao kipaji
Ila wewe
Mola amekujalia uimbaji
Mmmh
Tunalo moja kwako
swali ni moja
Je watumia uimbaji wako vipi
kuwatafuta au kuwapoteza
kondoo wa Mungu
Ulimwenguni
Ole wako unayechanganya
uimbaji wako na fitina
na siasa na ugomvi
na kiburi cha moyo
sio wewe uliye wa kwanza
kuwa na talanta ya kuimba
nyenyekea tulia shukuru
Imba
Imba Lyrics Video – Celah Gospel
CHORUS
Jiunge nasi tuimbe pamoja
shukrani na sifa kwake Mola
ni yeye amekupa
uwezo wa kuimba
njoo tumwimbie Mungu
Come let us sing to the Lord
shukrani na sifa kwake Mola
join us in singing to Jesus
Imba
Imba
STANZA 2
And the walls of Jericho
were so high and wide
and so glorious
But with a little singing
from the army of the Lord
kwa kishindo kikubwa
ziliporomoka
and the evil spirits
of King Saul of Israel
when they came
to bind him in darkness
when David played his little harp
and we know how the story goes
nini chakuzuia kumwimbia Mungu
wewe Imba
Imba Music Video – Celah Gospel
CHORUS
Jiunge nasi tuimbe pamoja
shukrani na sifa kwake Mola
ni yeye amekupa
uwezo wa kuimba
njoo tumwimbie Mungu
Come let us sing to the Lord
shukrani na sifa kwake Mola
join us in singing to Jesus
Imba
Jiunge nasi tuimbe pamoja
shukrani na sifa kwake Mola
ni yeye amekupa
uwezo wa kuimba
njoo tumwimbie Mungu
Come let us sing to the Lord
shukrani na sifa kwake Mola
join us in singing to Jesus
Imba
Jiunge nasi tuimbe pamoja
shukrani na sifa kwake Mola
ni yeye amekupa
uwezo wa kuimba
njoo tumwimbie Mungu
Come let us sing to the Lord
shukrani na sifa kwake Mola
join us in singing to Jesus
Imba
Imba